Kwa Raha-Aslay
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Kwa Raha-Aslay 文本歌词
Kwa Raha - Aslay
Yeah yeah
Yeah yeah
Umenipukutisha umeniacha kama bwege
Umenipa ugonjwa kama ule degedege mmh
Sina hata thumni ya kununua chipsi zege
Nikianza kulia machozi yanajaza debe debe
Imani na hitaji la moyo wako sikulijua kumbe
Kwangu ulitaka kipato ukakimbia
Ulivyopata kile ukitakacho ukazingua weewe
Kumbe tapeli wa mapenzi me sikujua aii weh
Masura wa moyo wanguu mama ndiye
Uliyeniacha mimi njia paanda
Umeondoka na moyo wangu maama wakati mwenzako nilishakupendaa
Ulipenda kuforce hat kama sitaki yani bundle lako la kutumia unataka
Laki ah umeshanifilisi eti haunitaki
Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeendaa
Kwa rahaa saawa kwa raha zako kwa rahaa kwa rahaa
Ponda tu mali zangu we dadaa kwa rahaa
Yeah yeah yeah
Kwa raha zako kufa kwaja kwa rahaa atanilipia
Mungu baba baba iye kwa rahaa kwa raha zako kwa rahaa
Ona sasa umeniachia mdeni kwa yule mama
Sikudhani kumbe ulikopaga lotion naumbuka huku
Umetupa jiwe gizani kisha limenipata mimi
We mbona huna shukurani naumbuka huku
Kichwa boga zuga zuga mpaka dagaa nashindwa
Kukopa aaeeh madeni uloniachia nashindwa kulipa ee
We masura wa moyo wangu maama ndiye uliyeniacha mimi njia
Paanda umeondoka na moyo wangu
Maama wakati mwenzako nilishakupendaa
Ulipenda kuforce hata kama sitaki
Yani bundle lako la kutumia unataka lakii
Na umeshanifilisi eti haunitaki
Sawa mwana kwenda me nitapata Mungu akiipeendaa
Kwa rahaa saawa kwa raha zakokwa rahaa
Kwa rahaa ponda tu mali zangu we dadaa iye iye
Kwa raahaaeyayayaah
Kwa raaha zako kufa kwaja kwa rahaa atanilipia
Mungu baba baba kwa rahaa kwa raha zako kwa rahaaa
Kwa Raha-Aslay 推荐歌曲
Kwa Raha专辑下载
(2018-04-18)