Nitayainua Macho-Christina Shusho
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Nitayainua Macho-Christina Shusho 文本歌词
Nitayainua Macho - Christina Shusho
Nitayainua macho yangu juu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi
Msaada wangu u katika bwana
Majeshi yajapojipanga kupigana nami
Moyo wangu hautaogopa
Maana najua husinzi wala hutalala
Bwana wangu utanipigania
Nitayainua macho yangu juu nitazame milima
Msaada wangu utatoka wapi
Msaada wangu u katika bwana
Majeshi yajapojipanga kupigana nami
Moyo wangu hautaogopa
Maana najua husinzi wala hutalala
Bwana wangu utanipigania
Eeh bwana nimeungojea wokovu wako
Na maagizoyako nimeyatenda
Nafsi yangu imezishika shuhuda zako
Nami nimekupenda mno
Nimeyashika mausia yako
Maana njia zangu zi mbele zako
Eeh bwana nimeungojea wokovu wako
Na maagizo yako nimeyatenda
Nafsi yangu imezishika shuhuda zako
Nami nimekupenda mno
Nimeyashika mausia yako
Maana njia zangu zi mbele zako
Bwana kilio changu yakikukaribia
Unifahamishe sawa na neno lako
Dua yangu na ifike mbele zako
Uniponye sawa na ahadi zako
Midomo yangu na itoe sifa kwako
Ulimi wangu uimbe ahadi zako
Nafsi yangu na iishi ipate kukusifu
Hukumu zako zinisaidie
Bwana kilio changu yakikukaribia
Unifahamishe sawa na neno lako
Dua yangu na ifike mbele zako
Uniponye sawa na ahadi zako
Midomo yangu na itoe sifa kwako
Ulimi wangu uimbe ahadi zako
Nafsi yangu na iishi ipate kukusifu
Hukumu zako zinisaidie
Eeh bwana
Nimeungojea wokovu wako
Na maagizoyako nimeyatenda
Nafsi yangu imezishika shuhuda zako
Nami nimekupenda mno
Nimeyashika mausia yako
Maana njia zangu zi mbele zako
Eeh bwana nimeungojea wokovu wako
Na maagizo yako nimeyatenda
Nafsi yangu imezishika shuhuda zako
Nami nimekupenda mno
Nimeyashika mausia yako
Maana njia zangu zi mbele zako
Nitayainua Macho-Christina Shusho 推荐歌曲
Kwa Kanisa La Kristo专辑下载
(2013-04-30)