MBAGALA-Diamond

歌手 : Diamond
专辑 : DIAMOND PLATNUM\'Z
语种 : 英语
时长 : 04:03

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT MBAGALA-Diamond 文本歌词

MBAGALA - Diamond
Written by:Unknown
Mmmhhhh
Mhhh
Busara na upole upole
Na hekima niliyorithi kutoka kwa mama
Yangu mama
Vyote hukuvijali hukuvijali
Huk'ona silingani kabisa kuwa na wewe
Kwa kuti na mkole kole
Ukakata kabisa na
Shina la penzi langu mama
Eti kisa maali maali
Ukaona bora uniache
Mimi na uolewe
Ile siku shekhe namuona anachoma
Ubani
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
N'liumia sanaa sanaa
Sanaa
Ile siku shekhe namuona anachoma
Ubani aha
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
Niliumia sanaa
Niliumia sanaa sanaa
Tatizo kwetu mbagala
Hapa nyumba mbele jalalaaa
Tatizo kwetu mbagala uk'ona mapenzi
Siwezi
Tatizo kwetu mbagala
Hapa nyumba mbele jalalaaa
Tatizo kwetu mbagala
Uk'ona mapenzi
Siwezi
Ahhh
Ungejua jinsi gani
Machozi n'livyolia kwa uchungu wa
Penzi langu na
Mwenzio jinsi gani
Vile nimeumia moyoni
Hata kupendwa sitamani sitamani
Utamu wa mapenzi mwenzako umekula
Kwangu ma
Mwenzio sitamaani sitamaani
Ata raha tena mi sioni
Naskia hivi sasa una mtoto anaitwa
Mamu
Vile akinuna mpaka tabasamu
M'mefanana sanaa
Sanaa
Mi mwenzako tena mapenzi mi sina
Hamu aha
Tena nna mpango wa kuhama dar es
Salaam
Nataka niende mbaali
Niepuke vita na
Walimwengu
Mi mwenzenu siwezi
Tatizo kwetu mbagala
Hapa nyumba mbele jalalaaa
Tatizo kwetu mbagala
Uk'ona mapenzi
Siwezi
Tatizo kwetu mbagala
Hapa nyumba mbele jalalaaa
Tatizo kwetu mbagala
Uk'ona mapenzi
Siwezi
Asima mbagala
Mbagala
Mbagala
Ahh mbagala
Uk'ona mapenzi siwezi
Asima mbagala
Mbagala
Mbagala
Mbagala
Mbagala mbagala
Eeeee mbagala
Uk'ona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu mbagala
Hapa nyumba mbele jalalaaa
Tatizo kwetu mbagala
Uk'ona mapenzi
Siwezi
Tatizo kwetu mbagala
Hapa nyumba mbele jalalaaa
Tatizo kwetu mbagala
Uk'ona mapenzi
Siwezi
Jalalaaa jalalaaa
Mbagala mbagala
Yoo hey yoo
Yoo
I'm back ladies I'm back
Ladies I'm back
It's short about a present
Bob junior
Mr chocolate flava
Yo I'm back diamond I'm back