Unutetee-Upendo Nkone
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Unutetee-Upendo Nkone 文本歌词
eeeeehh eeehhhh ehhhhe
zipo faida kukaaa na mungu
zipo faida kumskilza roho
zipo faida ukiomba na kusubiri
usivunjike moyo zipo faida
zipo faida kukaa na mungu
zipo faida kumsikiliza roho
zipo faida ukiomba na kusubiri
usivunjike moyo zipo faida
mara nyingi umefungwa ukaahindwa kusubiri
hata alipochelewa haukuwa na imani
mara nyingi umefungwa ukaahindwa kusubiri
hata alipochelewa kukujibu haukuwa na imani
mungu wetu haaachelewii wala hawaii
yeye anaweza kujibu kwa wakati wakee
mungu wetu haachelwii wala hwaaai baba
yeye anaweza kujibu pale anapotakaa
endelea kusubiri majibu yako yanakuja
wewe subiri usikate tamaa oh oh
zipo faida kukaa na mungu
zipo faida kumsikiliza roho
zipo faida ukiomba na kusubiri
usivunjike moyo zipo faida
zipo faida kukaa na mungu
zipo faida kumsikiliza roho
zipo faida ukiomba na kusubiri
usivunjike moyo zipo faida
labda ndugu unaumwa
unaomba uponyaji
kazini kukaa matatizo
wanasema we hufaaii
umeshindwa kwenda shulee dada
pesa zimekosekaana
ndoa yako matatizo amani ndani hakuna
ye mungu wetu haachelewiii wala hawahiii
yeye anaweza kujibu kwa wakati wake
ye mungu wetu haachelewiii wala hawahiii
yeye anaweza kujibu kwa wakati wake
endelea kusubiri majibu yako yanakujaaa
wewe usubirii usikate tamaa
zipo faida kukaa na mungu
zipo faida kumsikiliza roho
zipo faida ukiomba na kusubiri
usivunjike moyo zipo faida
hata mimi nilipoomba nilibidi kusubiri
tena alipochelewa kunijibuu nilikuwa na imani
na mimi nilipoomba kunijibuu nlidhi kusubiri
tena alipochelewa kunijibuu nlidhi kusubiri
mungu wetu sio kiziwi hata asikusikie
macho ya upendo yanakutazama
mungu wetu sio kiziwi hata asikusikie weewe
tena macho ya upendo yanakutazama endelea
kusubirii majibu yako yanakujaa
wewe usubirii usikate tamaa
zipo faida kukaa na mungu
zipo faida kumsikiliza roho
zipo faida ukiomba na kusubiri
usivunjike moyo zipo faida
weeeee subiriiii
weeeee subiriiii
weeeee subiriiii
weeeee subiriiii
weeeee subiriiii
weeeee subiriiiii
weeeee subiriiiii
weeeee subiriiiii
zipo faida kukaa na mungu
zipo faida kumsikiliza roho
zipo faida ukiomba na kusubiri
usivunjike moyo zipo faida
Unutetee-Upendo Nkone 推荐歌曲
Zipo Faida Kukaa Na Mungu专辑下载
(2013-04-30)