Uniongoze Yesu-Upendo Nkone

歌手 : Upendo Nkone
语种 : 英语
时长 : 08:10

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT Uniongoze Yesu-Upendo Nkone 文本歌词

Uniongoze Yesu - Upendo Nkone
Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze yesu kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji niongoze
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Dunia hii ina mabo mengi sana baba
Sasa dhambi imetawala dunia
Waliookoka wengine wanarudi nyuma
Me napenda nikupendeze Mungu upendezwe nami
Niyashike maagizo yako unifurahie
Neno lako Yesu likae ndani yangu
Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze yesu kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji niongoze
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
Ulisema ulidema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Kuna wengine wachanganya Mungu na dunia
Na wengine wanalibadili neno lako
Yesu ukisema na wao pia wanasema
Me nataka nikusikie Yesu ukisema nami
Maana wewe ndio wa thamani maishani mwangu
Nguvu zako yesu zikae ndani yangu
Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze yesu kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji niongoze
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
Ulisema ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
Mungu mungu wangu uniongoze
Ni kweli bwana nimekutana na vita kali vita kali
Lakini yesu umepigana badala yangu badala yangu
Wewe umekuwa ni mwamba wa wokovu wangu
Mbele yangu sijui kuna nini unipiganie
Usipokuwa nami sitaweza kitu unishikilie
Natamani sana nione uso wako Jemedari wangu
Uniongoze bado nakuhitaji
Uniongoze yesu kiongozi mwema kiongozi mwema
Moyo wangu nakuhitaji niongoze
Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
Ulisema ulisema ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
Mungu wangu mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa
Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze
Ulisema naposhindwa
Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
Mungu wangu uniongoze