SIAMINI-T.I.D

歌手 : T.I.D
专辑 : SAUTI YA DHAHABU
语种 : 英语
时长 : 04:49

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT SIAMINI-T.I.D 文本歌词

SIAMINI - T.I.D
Lyricist:Unknown
Composer:Unknown
Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe
Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe
Wajua pendo letu lilipotoka
Ni mbali sana mpenzi siwezi sema
Milima na mabonde mengi tumeshuka
Oh maneno mengi walisema kote bara
Na visiwani
Oh oh oh
Kindani cha moyo wangu
Oh oh oh
Sogea karibu yangu
Oh oh oh
Maneno ya kweli kwako
Siamini
Oh siamini siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote oh yeah
Mimi na wewe wewe wewe
Oh siamini siamini
Kama tuko wote oh yeah
Kama tuko wote wote wote
Mimi na wewe oh yeah
Taarifa hii timamu
Kumbuka la kitimu timu
Tulishanapowe jangwani
Na mambo ya baharini
Sijiwezi hasilani
Mwenzio kwako taabani
Oh oh oh
Kindani cha moyo wangu
Oh oh oh
Sogea karibu yangu
Oh oh oh
Maneno ya kweli kwako
Siamini
Oh siamini oh yeah
Kama tuko wote
Kama tuko wote oh no no
Mimi na wewe wewe
Oh siamini siamini
Kama tuko wote oh yeah
Kama tuko wote
Mimi na wewe wewe
Hallo hallo
Hebu nieleze manake natoka zangu zanzibari
Nafika darisalama
Kila kona nasikia siamini
Kwani nani huyu kijana
T I D allaa kumbe weye
Yuwapiwee hallo hallo
Yuwapi mamake harusi aje hapa tuhangaike naye
Yuwapiyee
Yuwapi babake harusi aje hapa tuhangaike naye
Yuwapiwee
Yuwapi kakake harusi aje hapa tuhangaike naye
Aje hapa kwa raha zangu
Eti aje hapa
Semi aje hapa
Sema tena aje hapa oh oh
Oh siamini oh yeah
Kama tuko wote wote
Kama tuko wote oh yeah
Mimi na wewe wewe
Oh siamini
Kama tuko wote wote wote
Kama tuko wote oh yeah oh
Mimi na wewe oh
Oh siamini siamini
Kama tuko wote oh
Kama tuko wote wote wote
Mimi na wewe oh yeah
Oh siamini oh nah
Kama tuko wote oh yeah
Kama tuko wote wote
Mimi na wewe oh yeah