Intro-Malaika
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Intro-Malaika 文本歌词
washinda ugangani
walala uchawini
ati uniroge mimi
nimekuudhi nini
washinda ugangani
walala uchawini
ati uniroge mimi
nimekuudhi nini
kazi yangu si nyepesi
ai ya ya
nikipata kidogo mnanuna
kidogo mnavimba
huishi kunisemaa
ai ya yaaa
huenda ipo sababu
tulitatue
tulitatue
tulitatue
tulitatue
daily kwako hakuishi bifu
basi nambie
basi nambie
unapenda zogo
unazua uongo
uongo uongo
zogo
zogo
zogo zogo zogo
unapenda zogo
unazua uongo
uongo uongo
zogo
zogo
zogo zogo zogo
(abby dady on beat)
mlisema mangapi
leo wakowapi
mlipiga kelele
nasonga mbele
wanaona gere
moyo wako
umejaa usuta
dua zako
kuniombea majanga
a aaaa
kuniombea majanga
jichunguze maishani
kwa maneno hayafanani
(...)umefunzwa na nanii ooh
nikipata kidogo mnanuna
kidogo mnavimba
huishi kunisemaa
ai ya yaaa
huenda ipo sababu
tulitatue
tulitatue
tulitatue
tulitatue
daily kwako hakuishi bifu
basi nambie
basi nambie
tusisuguane
unapenda zogo
unazua uongo
uongo uongo
zogo
zogo
zogo zogo zogo
unapenda zogo
unazua uongo
uongo uongo
zogo
zogo
zogo zogo zogo
unapenda zogo
unazua uongo
uongo uongo
zogo
zogo
zogo zogo zogo
unapenda zogoo
unazua uongo
zogo
zogo
zogo zogo zogo
unapenda zogoo
unapendaa zogo
zogoo zogoo
kila siku mizengwe
unapenda zogo
unapenda zogo
a aaah...
abby dady... end
Intro-Malaika 推荐歌曲
Malaika专辑下载
(2005-11-01)