Adamu-Christina Shusho

歌手 : Christina Shusho
专辑 : Unikumbuke
语种 : 英语
时长 : 06:52

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT Adamu-Christina Shusho 文本歌词

Adamu - Christina Shusho
Mungu alipo muumba adamu
Hakumwacha awe pekeyake
Akamfanyia msaidizi wakufanana naye
Nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
Mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke
Ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
Hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
Mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
Mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
Nakupenda mpenzi wangu ulivyoumbika
Nakupenda katika viumbe umezidi wote
Nakupenda nimekuchagua uwe wangu
Nakupenda kifo tu kitutenganishenisamehe nikukosea unisamehe
Nisamehe nisamehe nisamehe mpenzi
Nisamehe mimi ni mwanadamu wala c malaika
Nisamehe ninaomba nisamehe mpenzi
Asante kwa kunichagua niwe wako
Asante umetimiza ahadi ya ndoa
Asante nitajitahidi niwe mwaminifu
Asante asante mpenzi wanguasante
Tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
Tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
Kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
Tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
Tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
Mpenzi wangu
Nakupenda mpenzi wangu ulivyoumbika
Nakupenda katika viumbe umezidi wote
Nakupenda nimekuchagua uwe wangu
Nakupenda kifo tu kitutenganishe
Nisamehe nikukosea unisamehe
Nisamehe nisamehe nisamehe mpenzi
Nisamehe mimi ni mwanadamu wala c malaika
Nisamehe ninaomba nisamehe mpenzi
Asante kwa kunichagua niwe wako
Asante umetimiza ahadi ya ndoa
Asante nitajitahidi niwe mwaminifu
Asante asante mpenzi wangu
Asante