Achana Na Mimi-Kelele Takatifu

歌手 : Kelele Takatifu
专辑 : Achana Na Mimi
语种 : 纯音乐
时长 : 03:50

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT Achana Na Mimi-Kelele Takatifu 文本歌词

yayayaya
ni kelele kelele takatifu
aah we wachana na mimi mi najua namsifu kwa nini×3
namsifu kwa nini amekuwa na mimi namsifu kwa nini amekuwa na mimi
namsifu maulana ju msalabani alilipa gharama
ameniweka salama kachukua dhambi kachukua lawama
ameniweka free ka ndege ju ya sky ama ju ya tree
amenigurantee furaha kibao ntapata free
aliumia ju ya si sote ili tukiishi tusisote
tukisuffer tusikose
tukimsifu tusichoke
ndo maana kila siku sifa zitapanda mi nakumbuka
ah namsifu sahi sahi kesho mi naeza aga
namsifu sahi sahi ndo niudhi shetani na waganga
ata niwe kwa kitanda
matatu nikipanda
chakula kukaranga
namsifu tu sifa zinapanda
namsifu like this like that
i sing i rap
namsifu like this like that
i live i clap
ndo maana tumeumbwa anyway
so wasee
yesu kristo i praiz you everyday
mwanzo mwisho i praiz you everyday
ah we wachana na mimi
Achana Na Mimi

Achana Na Mimi专辑下载

(2014-02-20)