Iyena (feat. Rayvanny)-Diamond Platnumz/Rayvanny

歌手 : Diamond Platnumz / Rayvanny
语种 : 纯音乐
时长 : 04:41

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT Iyena (feat. Rayvanny)-Diamond Platnumz/Rayvanny 文本歌词

Iyena (feat. Rayvanny) - Diamond Platnumz/Rayvanny
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack/Chris Alvin Sunday
Ah leo chereko chereko
Mwanenu nimekuwa
Zile kuringa mideko itapungua
Ahsante mama ulinifunza nkajua
Baba kasema kuomba mwiko
Raha ya chumvi kununua
Tena si kwa nazi
Si hirizi za waganga
Kwa baraka za baba na mama
Tu na dua
Waambie paparazi
Pingamizi wenye viranga
Waliosema hayawi hayawi yamekuwa
Ooooh oh
Iyena iyena
Iyena iyena
Iyena iyena
Kwaheri tutaonana
Iyena iyena aah ooh
Iyena iyena aah iyeena
Iyena iyena
Ntawakumbuka sana
Ooh ndoa baraka
Ukipata ushukuru
Maana wanayoililia ni wengi sana
Kwetu talaka
Kuitoa ni kufuru
Nimefunzwa vumilia
Niushinde ujana
Ili kesho mahususi
Kusudi wasinong'one
Embu nichumu niringe washushuke
Na hii pete ya harusi
Nakuvisha waone
Wakale sumu
Wavimbe wapasuke
Eeh
Ati nashika nanga
Nteke nsichomoke ndani anameremeta
Futa namba wablock vimada wa zamani anameremeta
Sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani anameremeta
Waliopanga mwenye nyumba kaja ndani anameremeta
Iyena iyena aah iyoyo
Iyena iyena aah eeeh
Iyena iyena
Kwaheri tutaonana oh kwaheri baba mama
Iyena iyena iyeeena
Iyena iyena aah eeh
Iyena iyena
Ntawakumbuka sana
Imefika tamati
Tulisubiri kitambo
Leo samaki
Kanasa kwenye chambo
Pongezi kwa kamati
Yanavutia mapambo
Napata picha safi
Litanikoma bundle
Mwanamke usafi
Gaga kulisugua
Mume akirudi sharti
Viatu kumvua
Kitandani marashi
Massage kumchua
Kisha anza sayansi
Viuno kutengua
Mambo ya kuzima taa
Si mahaba ni kuwanga
Washa japo ka mshumaa
Mumeo aone shanga
Eeeeh
Makeup kinanda
Kaka suit kama mbunge anameremeta
Mulo changa muda kujipooza na punje anameremeta
Momo ndani shivo amekuja na fumbwe anameremeta
Kula chanda ukishiba ruksa kafunge anameremeta
Iyena iyena aah iyeee
Iyena iyena aah iyoyo
Iyena iyena
Kwaheri tutaonana eh kwaheri baba mama
Iyena iyena iyeee
Iyena iyena hhhmm
Iyena iyena
Ntawakumbuka sana
Saa nataka kusasambua sasambu
Me nasasambua sasambu
Aby dad nasasambua mimi sasambu
Sasambua
Tuone
Mguu moja juu sasambu
Usishushe chini sasambu
Cheza jitazame sasambu
Sasambua
Tuone
Aisha kimobitel sasambu
Nipe za baloteli sasambu
Nyonga kibaiskeli sasambu
Sasambua
Tuone
Akaa kama unashika ukuta sasambu
Ifanye unashusha sasambu
Taratibu zungusha sasambu
Sasambua
Tuone
Sasambu sasambu sasambu
Sasambua
Tuone
Kama unawasha bajaji sasambu
Imwagie na maji sasambu
Tuwakomeshe vizazi sasambu
Sasambua
Tuone