Waah!(feat. Koffi Olomide)-Diamond Platnumz/Koffi Olomide
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Waah!(feat. Koffi Olomide)-Diamond Platnumz/Koffi Olomide 文本歌词
Waah!(feat. Koffi Olomide) - Diamond Platnumz/Koffi Olomide
Anachukua anaweka waah
De generale' Dangote
Anachukua anaweka waah
Le grand Mopao
Anachukua anaweka waah
Boss ya mboka
Anachukua anaweka waah
Tamu kupendwa nae
Taamu nasikia
Tamu kupendwa nawe
Tamu kupendwa nawe tamu
Tamu kupendwa nawe
Oh maneno maneno tumeyazoea
Vijineno neno tushazoea
Mpenzi wangu mbaya
Kwani inawahusu
Shepu yake mbaya hivi inawahusu
Udangaji umalaya wao inawahusu nini
Wamegusa pabaya na mwaka huu
Lazima wachuchumae
Wameingia cha kike
Hewaaa
Cha kike aaah
Wameingia cha kike
Cha cha kike
Twale
Wameingia cha kike kwa penzi letu
Cha kike
Lazima wachuchumae
Wameingia cha kike
Kwa penzi letu
Cha cha kike
Aah Bakokote
Babu Tale
Don Mendez Ba Junior
Chumbani Hennessy
Hunipatia panadol
Kuchenga za Messi
Na mashuti ya Ronaldo
Yaani ndani nikiingia tu
Anachukua anaweka waah
Ah kwenye gari
Anachukua anaweka waah
Iwe jikoni ama varandani
Anachukua anaweka waah
Doze doze doze doze
Anachukua anaweka waah
Yaani Dar es salama joto
Toa leso nipepepee
Mkubwa Fella
Oya Congo joto
Toa leso jipepepee
Oya mzee kunami jipepee
Oh Ricardo Momo jipepe
Oya mama Ndangote jipepe
Eeh Doni Fumbwe jipepe
Juu juu jipepe
Juu juu juu jipepe
Juu juu jipepe
Juu juu juu jipepe
Na se
Na se
Na se
Na se
Fukama fukama mwara
Fukama fukama mwara
Fukama fukama Diamond
Fukama fukama Quadra
Fukama
Papa Mobimba aye
Papa Mobimba aye
Papa Mobimba aye
Papa Mobimba
Anyataka trop akokakate alobaka te Tsuba ye yes
Tshuma tshuma tshuma tshuma tshuma
Akokaka te alingaka trop alobaka te Sukuma aa yes
Tshuma tshuma tshuma aah
Papa Ngwasuma
Papa Ngwasuma
Jose Kusaga
Papa Ngwasuma
Anzeli Ngwasuma
Dar es Salaam Ngwasuma
Diamond Ngwasuma
Kinshasa Ngwasuma
Asutara Ngwasuma
Eeeh aaah
Eeeh
Weeeh
Usiniguse usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Usiniguse usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Ooh nasema usiniguse usinitouch
Salamu iwe kwa miguu
Tusigusane
Usiniguse usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Ooh kwanza kaa mbali
Corona coro ko simba te
Corona coro
Mwenzako naogopa
Corona coro Akusana Mosika
Corona coro
Kwa tena vaa maski
Corona coro De megre
Corona coro
Mikono yako kuosha
Corona coro De Pirlo Saint James
Corona coro Didi Stone
Didi Sontos
Ayolizer
Today is today
The boss
The boss
The boss
Aluzapao de lutin
Aluzapao de fortin
Mopao mokonzie eeh eeh
Eeeh eeh eeh eeh
Waah!(feat. Koffi Olomide)-Diamond Platnumz/Koffi Olomide 推荐歌曲
Waah! (feat. Koffi Olomide)专辑下载
(2020-11-27)