Libebe-Beka Flavour
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Libebe-Beka Flavour 文本歌词
Libebe - Beka Flavour
Nifanye nikuone kioo Kwako nijatazame eh
Nifunike kwa upendo kwingine nisione eh
Nifanye nijione me stronger kwako ni simame eh
Nipepee kwa upendo pressure inishuke eh
Niweke kwenye sayari nzuri ya mapendo
Niishi nikifurahi me na wewe nionyeshe mapendo
Tena kwa vitendo maneno yasituharibie
Niweke kwenye sayari nzuri ya mapendo
Niishi nikifurahi me na wewe nionyeshe mapendo
Tena kwa vitendo maneno yasituharibie
Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Penzi letu Libebe
Usilichuje kwa chujio libebe
Wouwowowowoo libebe
Usilishushe uninio libebe
Penzi letu Libebe
Usilichuje kwa chujio libebe
Wouwowowowoo libebe
Usilishushe uninio libebe
Eh
Chakula hakipiti kinywani ukiwaga mbali na nyumbani
Cheki moyo unavyokwenda mamy
Apite mbali ibirisi shetani
Unakila sababu ya kuuteka moyo wangu
Wangu
Haya simami yana dunda mapigo ya moyo
Baki kwangu
Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Penzi letu Libebe
Usilichuje kwa chujio libebe
Wouwowowowoo libebe
Usilishushe uninio libebe
Penzi letu Libebe
Usilichuje kwa chujio libebe
Wouwowowowoo libebe
Usilishushe uninio libebe
Eh
Wangu sinyorita baki mimi usije ukatoroka
Wenye magari wakaja kukuteka ukaniacha mimi naangaika
Hey Leo wangu sinyorita baki mimi usije ukatoroka
Wenye magari wakaja kukuteka ukaniacha mimi naangaika
Heyyeiyeeh
Libebe
Uhu Babyy
Libebe
Uhu Babyy
Libebe
Uhu
Baby
Libebe
Libebe
Libebe
Libebe
Libebe专辑下载
(2018-02-14)