Billie Jean-BURUKLYN BOYZ
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Billie Jean-BURUKLYN BOYZ 文本歌词
Wapo wanadai ku-hang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinky ring
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za Billie Jean
Za Billie Jean za Billie Jean
Wapoa hudai ku-hang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinky ring
Kinywaji ni saf hakuna stori jo za Billie Jean
Za Billie Jean za Billie Jean
Uh sikia
Mresh wako ananipea juu ya fame ka MJ, ye hunipea hio kitu nipige (Beat it!)
Hiyo kitu yako ni ndogo hadi ukiwa ndani huezi jua ka uko nje (Uh)
Mi bazenga daddy mradi zote za ganji huh mi hukuwa in dem
Mistari hutoka kwa hii kichwa ni mbaya uh
Unaeza dhani mi hukuwa sicked
Hii drip ni clean hii gang ni clean hii gang ni wasafi sana (Clean clean)
Sema cheza mi nadai mabramba
Me huleta smoke nina-beef na NACADA (Uh-huh)
Tano nane sisi si wa Ummo ah lakini tunazoza sana
Nishakupea warning mmsiseme tukikam ah hamkukanywa
a minute trouble na oti jeshi wa mine ma-locals kama
Kila mahali fake taste inafanya promoter anabaki ameweka lawama (Ati)
Mwisho ni Kifaru ama Taurus ah meza inapambwa
Na ukae rada ya hao mayiela ah wanaweza kupaka
Wapoa wanadai ku-hang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene (Scene)
The sky is blue but I always rock my pinky ring (Uh-huh uh-huh my pinky ring)
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za Billie Jean
Za Billie Jean za Billie Jean (Uh uh uh uh)
Wapoa hudai ku-hang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene (Scene)
The sky is blue but I always rock my pinky ring (Ring uh uh)
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za Billie Jean
Za Billie Jean za Billie Jean (Uh uh uh uh uh)
Tano nane uh
M-R-I-G-H-T uh
Buruklyn Boyz gang
Billie Jean-BURUKLYN BOYZ 推荐歌曲
Billie Jean (Explicit)专辑下载
(2021-01-25)