Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida

专辑 : Malaika
语种 : 英语
时长 : 04:12

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT Heshimuni Wazazi-Fadhili Williams Mdawida 文本歌词

Heshimuni Wazazi - Fadhili Williams Mdawida
Wazazi walikulea vizuri
Ulipokuwa ungali mdogo
Wazazi wako walikupenda
Hata wewe ukawapenda sana
Walikulea kwa gharama nyingi
Wakajinyima na mengi ya dunia
Kusudi utakapokuwa
Uwe mtu wa maisha mema
Sasa umeshateua
Umeoa una watoto
Mke wako anakuambia
Wazazi wako ni wabaya sana
Sasa hutaki kuwaona
Wazazi wako hata kwa macho
Huku mbuki gharama nyingi
Walizokulea nazo
Kijana toboa wazi
Mama na mke ni yupi bora
Kama mama hakukulea
Hata mke hungelioa
Kijana umesahau yote
Wazazi waliokufanyia
Umeweka bibi mbele
Kuliko wazazi wako
Oo hoo
Sasa mke wako
Anakugombanisha
Na wazazi wako
Oo hoo
Hata anasema
Wazazi wako
Ni wachafu sana
Oo hoo
Sitaki kuwaona
Hapa nyumbani kwangu
Wataleta magonjwa
Oo hoo
Wee wanyamaza
Kimya kama bubu
Usije ukawachwa
Anayekutukania mama
Haki si mtu mwema
Kama si mama kukulea
Hungeliona dunia ya leo
Kijana kumbuka
Huwezi kupata
Mama mwingine
Kote duniani
Lakini waweza
Kupata mke mwingine
Huwezi kupata
Mama mwingine