Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO

专辑 : Kiatu Kivue
语种 : 英语
时长 : 05:42

DOLBY 杜比全景声 下载

臻品母带 下载

臻品全景声 下载

臻品音质

HIRES Hi-Res 下载

FLAC 无损flac 百度云网盘下载

APE 无损ape 格式下载

320MP3 极高mp3 歌曲下载

128MP3 标准mp3 百度网盘下载

192OGG 较高ogg 下载

192AAC 较高aac 下载

96AAC 标准aac 百度云下载

Loading...

TXT Kiatu Kivue-Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO 文本歌词

Kiatu Kivue - Anastacia Mukabwa/ROSE MUHANDO
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia
Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu kivue
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue
Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia
Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu
Musa hicho kiatu Musa hicho kiatu
Nataka ninene nawe nataka nikutumie
Nataka nikuinue nataka nikubariki
Watu wangu waangamia taifa langu la Israeli
Watu wangu wanasononeka watu wangu wanateseka
Nataka nikutumie wewe ukaokoe taifa langu we
Hata leo mungu anena nasi hicho kiatu we
Kiatu ni dhambi uzifanyazo ninakwambia
Ukahaba unaoeneza kando kando ni kiatu
Wivu na masengenyo vimekuja ni kiatu
Kitakupeleka jehanamu hicho kiatu
Kitakupeleka motoni wewe hicho kiatu
Uzinzi unaoeneza wewe ni kiatu
Uvalie wake wa wenzio magoti we nakwambia
Utongoza waume wa wenzio ni kiatu we
Kitakupekea jehanamu hicho kiatu
Mama hicho kiatu baba hicho kiatu
Nataka ninene nawe maana ninakupenda
Nataka ninene nawe ili nikuokoe
Mimi sitaki uangamie mimi sitaki upotee
Mimi sitaki uangamie maana mimi ninakujali
Mimi Mungu ni wa neema mimi mungu ni wa upendo
Ukitaka Mungu akubariki lazima kiatu kivue
Ukitaka kuinuliwa wewe ni lazima kivue
Wivu ulio nao wewe ni lazima
Hutaki kuona mwenzako mama akiinuliwa wewe
Hutaki kuona mwenzako akiwa amependeza
Hutaki kuona mwenzako akiwa yuko smart
Tabia ulio nayo mama ninakwambia wewe
Hutaki kuona ndoa ya mwenzako jamani mke na mume wakicheka
Tabia uliyo nayo baba nakwambia badilika
Hutaki kuona huduma ya mwenzako jamani likisonga mbele
Hebu kivue jamani hebu kivue
Kiatu cha nyumba ndogo kiatu cha ulevi
Kiatu cha uzinzi kiatu cha masengenyo
Kivue kivue kivue
Kivue kiatu kivue kiatu kivue
Mungu ananena nawe hicho kiatu kivue
Mungu anena nawe hicho kiatu kivue
Valia mini waume wa wenzio iwe mwisho
Kuvalia vitovu waume wa wenzio iwe mwisho
Kupaka wanja kwa waume wa wenzio iwe mwisho
Nataka nikupe mumueo nataka nikupe nyumba yako
Nataka nikuinue nataka nikuinue
Nataka nikuinue niinue mume wako
Niinue nyumba yako nimwunue mke wako
Nikupatia mchumba kiatu cha nyumba ndogo
Mungu anasema nawewe hicho kiatu
Ah hicho kiatu kivue
Hicho kiatu
Hicho kiatu
Kiatu Kivue

Kiatu Kivue专辑下载

(2013-04-30)