Duru-FEMI ONE/Joh Makini
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Duru-FEMI ONE/Joh Makini 文本歌词
We sio beshte yangu nakujua tu
Wale huthani wako fly si watatua tu
Madam shida huwezi nitatua tu
Hata mnipe mnazi bado Dafu nitafua tu
Class yangu ni me na Weusi solo
Index one wenyu huku ni sawa na mono
First body wenyu huku ni sawa na Momo
Wanadai kiti kwa daku na hawajanawa mkono
Mannas wapi
hamkufunzwa adabu
Kabla ulimwengu unifunze me nilifunzwa na babu
Married to the game ka simon na Sarah kabu
Honey moon ndani ya benki ndio mambo kistaarabu
Skuizi nakula bata nadishiwa silver platter
Shakira ama thirty first bado na Waka waka
Small chatter haijawai babaisha top shatter
Cheki mizuka za kike jogoo zina maka maka.
Chorus
Natikisa wavu kwenye kila mechi usishindane Roro
Wanangoja mpira bado wako benchi
si ni wazi they donno
Duru ni za kuaminika
Duru-FEMI ONE/Joh Makini 推荐歌曲
Greatness (Explicit)专辑下载
(2021-06-18)