Jiongeleshe-FEMI ONE
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT Jiongeleshe-FEMI ONE 文本歌词
Femi I saw u pale IG aki Si una kaa fiti/
Shikow kim Mimi nani bila Weh, hali ya mwiki?/
Kasaran' Nai kadogo si ndio TWA ka run/
Si tafathal, toka East ndio nili rise kama sun/
sahi ni weh matunda ya kazi una enjoy/
cheza ki cupid, nishikanishe na arrow boy/
Shikow me si date celebs, ngumu nijipate/
hapa natafta pesa na sitafuti heartbreak/
Femi mafan maboy watapenda Hio ripoti/
lazima 'ta Ku chapa na meme naughty naughty/
Shikow ntareply naa emoji Si u know me/
nkicheka jokes zao wanahisi wata njoti/
Femi uli squash-beef na kina njeri na noti?
Shikow swali muhimu ni ka nmebuy ploti/
na gari mauano kama Sir name ya flosisin'/
ivo Femi akuna tym ya kiki na mikosi....
Chorus
×2
×2
Verse 2
Femi 255 wana kupenda ni ka wewe wao/
Shikow hujui kwani nabii hakubaliki kwao/
hata kibadili maji to henny ama kibao/
huku skiza alivo sema ule Masauti kwa "hao?"/
Femi collabo Kenya ziko pale bongo vipi?/
Huku weh Qeen sa jipime na kina Rosa Ree/
Shikow rosary ya nini nami Si mkatholiki/
ngoma yangu na Roma ndio itashow Stamina fitti/
me ndio naamua hairstyle ya vichwa vya habari/
na sija amua spare time ntaitumia na nani/
Mimi mama yao kabla sija kuwa mzazi/
Tuva akisema najituma hamanishi dukani/
Femi before u go kuna swali moja ime baki/
rumor ni utakuwa rapper wa kwanza wasafi?
Jiongeleshe-FEMI ONE 推荐歌曲
Greatness (Explicit)专辑下载
(2021-06-18)