100 Bob-FEMI ONE
DOLBY 杜比全景声 下载
臻品母带 下载
臻品全景声 下载
臻品音质
HIRES Hi-Res 下载
FLAC 无损flac 百度云网盘下载
APE 无损ape 格式下载
320MP3 极高mp3 歌曲下载
128MP3 标准mp3 百度网盘下载
192OGG 较高ogg 下载
192AAC 较高aac 下载
96AAC 标准aac 百度云下载
Loading...
TXT 100 Bob-FEMI ONE 文本歌词
Basi twende tuka wake Huko nairobi west
Ama pande Gani ndio ni pombe ni best
Nyake ni best na machali wabest
Na madem wanapendanga kuzungusha waist
Cheza na Esir ama manu dibango
Bado nazitoka na ngoma za kitambo
ata kilatino tuna baila bailando
Natupa mikono juu naweka shida kando
kama bado waist iko
vunjanga mifupa
kama bill hulipi usikunywange na Pupa
Chezanga na Rubber Ka hamufungangi maduka
Na usiulize ni ngapi Si uhesabu ma Chupa
Verse 2
Life ni kutafuta si kitafutana
lakini leo itabidi tumetafutana
Pamba safi dance floor ni Chafu sana
Si pale kwa vinywaji ndio tunakutana
Tunachoma liver dry fry
Vile tuko high utathani ni Scifi
Kushukisha mizuka ya masela haifai
Ku shikisha mavela na mafelaz why lie
Huku nairobi tunapendanga kuhanya na kuparty
Mchele ni ya mafala wana kuanga wangati
Usiulize ni ngapi we niambie mko wangapi
uko single tuna mingle na maodi na mabarbie
Bridge
My crew hubambanga
Cheki vile life tunakulanga
muziki ni Dawa me ni muganganga
So relax be free feelanga
My crew hubambanga
Cheki vile life tunakulanga
muziki ni Dawa me ni muganganga
So relax be free feelanga
100 Bob-FEMI ONE 推荐歌曲
Greatness (Explicit)专辑下载
(2021-06-18)